Breaking

Wednesday 28 September 2022

RAIS DKT. MWINYI ATEUA MKURUGENZI WA MASHTAKA ZANZIBAR



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapundi Dkt Hussein Ali Mwinyi amemteua Mgeni Jailani Jecha Kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar-DPP

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages