Breaking

Sunday 12 March 2023

RUFIJI FM YAZINDULIWA RASMI


Rufiji FM - Raha ya Pwani Redio pendwa kwa watu wote sasa rasmi yazinduliwa Ikwiriri- Rufiji saa chache zijazo.

Ni kituo Bora kabisa kwa ajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha na kuwaelemisha Warufiji, Wanapwani na watanzania kwa ujumla.

Unangoja nini njoo tushiriki pamoja na uwe sehemu ya historia hii, katika tamasha la Uzinduzi!!!!!!

Wasanii mbalimbali watapanda na kubamba

Unakosaje kwa mfano?????
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages