Showing posts with label UTEUZI. Show all posts
Showing posts with label UTEUZI. Show all posts
Thursday 9 March 2023
Tuesday 14 February 2023
RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO MADOGO BARAZA LA MAWAZIRI, MAKATIBU WAKUU
Lango la Habari
February 14, 2023
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri, ambapo amemhamisha Mohamed Mchengerwa aliyekuwa Waziri wa Uta...
Thursday 9 February 2023
RAIS SAMIA ATEUA MTENDAJI MKUU AICC
Lango la Habari
February 09, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Ephraim Balozi Mafuru kuwa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Kimataifa c...
Monday 6 February 2023
RAIS DKT. MWINYI AMTEUA CHARLES HILARY KUWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI ZANZIBAR
Lango la Habari
February 06, 2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Charles Martin Hilary kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali. Cha...
Friday 3 February 2023
RAIS SAMIA ATEUA VIONGOZI SABA USIKU HUU
Lango la Habari
February 03, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- (1) Amemteua Bi Janet Zebedayo Mbene kuwa...
Wednesday 25 January 2023
BREAKING: RAIS DKT. SAMIA AFANYA UTEUZI WA WAKUU WA WILAYA
Lango la Habari
January 25, 2023
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37,...
Tuesday 24 January 2023
RAIS DKT. SAMIA ATUMBUA MKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NNE
Lango la Habari
January 24, 2023
Na Lango La Habari Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya utenguzi wa Mkuu wa Wilaya na Wakurugenzi wate...
Saturday 21 January 2023
RAIS DKT. MWINYI ATEUA VIONGOZI SITA
Lango la Habari
January 21, 2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi amewateua viongozi mbalimbali. Kupitia taarifa iliyotolewa Iju...
Tuesday 17 January 2023
RAIS DKT. SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI NANE
Lango la Habari
January 17, 2023
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kupitia taarifa iliyotolewa n...
Monday 16 January 2023
RAIS DKT. MWINYI ATEUA KAMISHNA MKUU ZRA
Lango la Habari
January 16, 2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemteua ndugu Yusuph Juma Mwenda kuwa Kamishna Mku...
Saturday 7 January 2023
RAIS DKT. SAMIA ATEUA GAVANA BOT, KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
Lango la Habari
January 07, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango...
Friday 6 January 2023
RAIS DKT. SAMIA AFANYA UTEUZI USIKU HUU
Lango la Habari
January 06, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameteua Wajumbe wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Ji...
IGP WAMBURA AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA MIKOA
Lango la Habari
January 06, 2023
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura, amefanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi wa mikoa katika kuboresha na kuongeza ufani...
RAIS SAMIA ATENGUA UTEUZI WA DIWANI, ATEUA MWINGINE
Lango la Habari
January 06, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya, aliyemteua tarehe 03 ...
Thursday 5 January 2023
RAIS DKT. SAMIA AFANYA UTEUZI LEO JANUARY 05, 2023
Lango la Habari
January 05, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, a memteua Dkt. Ellen Mkondya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya ...
Tuesday 3 January 2023
BREAKING: RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO YA NAFASI ZA UONGOZI SERIKALINI
Lango la Habari
January 03, 2023
Na lango la habari Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya nafasi za uongozi katika Serika...
Wednesday 14 December 2022
RAIS DKT. MWINYI AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI
Lango la Habari
December 14, 2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi arnefanya uteuzi wa viongozi wafuatao: I. Tume ya M...
RAIS DKT. SAMIA AFANYA UTEUZI WA MAKATIBU WAKUU
Lango la Habari
December 14, 2022
Na lango la habari Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa makatibu wakuu wawili wa wizara. K...
Wednesday 16 November 2022
RAIS DKT. MWINYI ATEUA VIONGOZI WAWILI
Lango la Habari
November 16, 2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa viongozi wawili leo Jumatano Novemba 16, 202...
Thursday 10 November 2022
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990