Featured
Thursday, 20 March 2025
RAIS DKT. SAMIA ACHANGIA SH. MILIONI 50 KUMUENZI PADRI SHIRIMA
emmanuel mbatilo
March 20, 2025
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa shiling...
EWURA YAPOKEA MAONI YA WADAU KUHUSU UBORA WA HUDUMA
OKULY BLOG
March 20, 2025
Mhandisi Mwandamizi wa Maji na Usafi wa Mazingira Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Amani Nyekele akiwapitisha washi...
SHIRIKA LA POSTA TANZANIA, BAHATI NASIBU YA TAIFA KUSHIRIKIANA KUPANUA UPATIKANAJI WA MICHEZO YA KUBAHATISHA NCHINI
emmanuel mbatilo
March 20, 2025
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM SHIRIKA la Posta Tanzania limeingia makubaliano ya ushiriano na Bahati Nasibu ya Tanzania ili kuongeza up...
Wednesday, 19 March 2025
MADAKTARI BINGWA WA MAMA SAMIA WATOA MAFUNZO YA UTOAJI HUDUMA KWA MAMA NA MTOTO
emmanuel mbatilo
March 19, 2025
Madaktari bingwa wa mpango wa Mama Samia kutoka mikoa mbalimbali wametoa mafunzo ya kuboresha utoaji huduma kwa mama na watoto wachanga kwa ...
DKT.BITEKO AIPONGEZA EWURA USIMAMIZI SEKTA YA MAJI
OKULY BLOG
March 19, 2025
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko,akizungumza wakati akizindua Taarifa ya Utendaji wa Mamlaka za Maji na Usaf...
Bodi ya Wakurugenzi PURA yatua Songo Songo, yatoa neno utekelezaji miradi ya CSR
emmanuel mbatilo
March 19, 2025
Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imefanya ziara maalum Songo Songo Mkoani Lindi kujionea hali ya m...
ELIMU YA FEDHA YAPIGA HODI SERENGETI MKOANI MARA
emmanuel mbatilo
March 19, 2025
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara, Bw. Victor Charles, akisikiliza maelezo kutoka kwa Kiongozi wa ...
BODI YA USIMAMIZI WAPIMA ARDHI YAKUTANA DODOMA
emmanuel mbatilo
March 19, 2025
Na Munir Shemweta, WANMM Bodi ya Usimamizi na Utoaji wa Leseni kwa Wapima Ardhi (Board of Control and Licensing of Surveyors-BCLS) imeanza k...
Tuesday, 18 March 2025
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAHITIMISHA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA UMEME MKOANI NJOMBE
emmanuel mbatilo
March 18, 2025
18 Machi,2026, Njombe Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekamilisha ziara yake ya siku tatu mkoani Njombe kwa kukagua utekelez...
SANGU ATAKA RASILIMALIWATU SERIKALINI ISIMAMIWE VIZURI ILI KUKUZA UCHUMI
Video
March 18, 2025
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu amesisitiza Maafisa Sheria na Maafisa Utumishi k...
SERIKALI KUPITIA COSTECH YAWEKEZA BILIONI 25.7 KWA AJILI YA KUFANYA UTAFITI, UBUNIFU NA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA
Video
March 18, 2025
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Dkt. Amos Nungu, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990