ODINGA ANENA MAZITO SIKU 100 ZA RAIS RUTO MADARAKANI Lango la Habari December 24, 2022 Kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga amemkashifu Rais William Ruto kwa kile anachodai kukosa kutimiza ahadi alizotoa kwa Wak... Read more »
RUTO AAPISHWA KUWA RAIS WA KENYA Lango la Habari September 13, 2022 William Ruto ameapishwa rasmi kuwa rais wa tano wa Jamhuri ya Kenya leo Jumanne Septemba 13,2022 katika uwanja wa Moi Kasarani katika shere... Read more »
KAULI YA RAILA ODINGA BAADA YA UAMUZI WA MAHAKAMA Lango la Habari September 06, 2022 Na Said Muhibu,LLH Sekretarieti ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya na Mgombea wa Urais wa Azimio la Umoja Raila Odinga imeshindwa kukubaliana... Read more »
BREAKING: MAHAKAMA YATHIBITISHA USHINDI WA WILLIAM RUTO URAIS KENYA Lango la Habari September 05, 2022 Mahakama ya juu imeidhinisha Uchaguzi wa William Ruto kuwa rais mteule wa Kenya baada ya kesi iliowasilishwa na mpinzani wake mkuu katika uc... Read more »
BREAKING: RAILA ODINGA APINGA MATOKEO YA URAIS KENYA Lango la Habari August 16, 2022 Na Samir Salum, Lango la habari Mgombea wa Kiti cha Urais wa kenya kupitia tiketi ya chama cha Azimio Umoja, Raila Odinga amepinga matokeo y... Read more »
BREAKING: WILLIAM RUTO ASHINDA URAIS KENYA Lango la Habari August 15, 2022 Na Samir Salum, Lango la habari Tume huru ya uchaguzi na Mipaka Nchini Kenya IEBC imemtangaza Wiliam Ruto wa chama cha UDA kuwa Mshindi wa k... Read more »