Breaking

Monday 15 August 2022

BREAKING: WILLIAM RUTO ASHINDA URAIS KENYANa Samir Salum, Lango la habari

Tume huru ya uchaguzi na Mipaka Nchini Kenya IEBC imemtangaza Wiliam Ruto wa chama cha UDA kuwa Mshindi wa kura za Kiti cha Urais wa Nchi hiyo.

Akitangaza matokeo hayo leo Jumatano August 15, 2022 Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati amesema kuwa Ruto ameshinda kwa kura 7,176,141 sawa na Asilimia 50.49%. 

Akifuatiwa na mgombea wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga aliepata kura Milioni 6,942,930 sawa na asilimia 48.85%.

Taarifa zaidi kukujia hivi punde.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages