WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO UWANJA WA MKAPA Lango la Habari March 01, 2023 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuanza haraka ukarabati wa Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Benjami... Read more »
WAZIRI MCHENGERWA ASISITIZA KUTUMIA MICHEZO KUITANGAZA TANZANIA Lango la Habari February 18, 2023 Na John Mapepele Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Hassan Abbasi leo ni miongoni mwa... Read more »
NHC YAIKABIDHI SERIKALI ENEO LA UJENZI WA SPORTS ARENA Lango la Habari February 14, 2023 Na John Mapepele Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo imepokea kutoka Shirika la Nyumba ( NHC) eneo la ekari 12 Kawe Jijini Dar es salaam ... Read more »
MKANDARASI KUKABIDHIWA ENEO UJENZI UWANJA WA DODOMA Lango la Habari February 02, 2023 Na Shamimu Nyaki Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kuwa michoro kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Mpira... Read more »
BWENI CHUO CHA MICHEZO MALYA KUGHARIMU BILIONI 2.5 Lango la Habari January 22, 2023 Na Shamimu Nyaki Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Januari 21, 2023 imefanya ziara katika Chuo Cha Michezo Malya ki... Read more »
SERIKALI KUFANYA MAKUBWA SEKTA YA SANAA NA MICHEZO 2023 Lango la Habari January 01, 2023 Na John Mapepele Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali inakwenda kuimarisha sekta ya Michezo na Sa... Read more »
CRISTIANO RONALDO ATIMKIA UARABUNI Lango la Habari December 31, 2022 Na Ayoub Julius Klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia imethibitisha kumsajili Gwiji wa soka raia wa Ureno Cristiano Ronaldo katika klabu hiyo. H... Read more »
CR7, MESSI, MBAPPE WAMLILIA PELE Lango la Habari December 30, 2022 Cristiano Ronaldo amemtaja Pele kama ‘rejeo’ kwa soka lililosalia, hapo awali na la sasa, na vilevile kwa siku zijazo. Nyota huyo wa Brazil... Read more »
TAZAMA MAGOLI AZAM FC 2 - 3 YANGA SC NBC PREMIER LEAGUE Lango la Habari December 25, 2022 Read more »
BENZEMA AFUNGUKA MAZITO BAADA YA UFARANSA KUKOSA KOMBE LA DUNIA Lango la Habari December 19, 2022 Karim Benzema amestaafu kucheza soka la kimataifa baada ya kukaa nje ya kikosi cha Ufaransa katika fainali ya Kombe la Dunia kutokana na jer... Read more »
BARBARA ATANGAZA KUJIUZULU SIMBA SC Lango la Habari December 10, 2022 Barbara Gonzalez leo ameandika barua ya kujiuzulu wadhifa wake kama Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba kuanzia January mwakani. Read more »
WATENDAJI, WADAU WA MICHEZO WATAKIWA KUBADILIKA KUIWEZESHA TANZANIA KUSHIRIKI KOMBE LA DUNIA Lango la Habari November 29, 2022 Na John Mapepele Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji na wadau wa michezo nchini kubadili fikr... Read more »
PEP GUARDIOLA ASAINI MKATABA MPYA MAN CITY Lango la Habari November 23, 2022 Pep Guardiola ametia saini kandarasi mpya ya miaka miwili ili kuongeza muda wake wa kuwa meneja wa Manchester City hadi 2025. Guardiola ame... Read more »
BREAKING: CRISTIANO RONALDO ATIMULIWA MANCHESTER UNITED Lango la Habari November 22, 2022 Manchester United imethibitisha kuwa Cristiano Ronaldo ameondoka katika klabu hiyo kwa mara ya pili baada ya mkataba wake kuvunjwa na kuteke... Read more »
WAZIRI MCHENGERWA AWATAKA MA'RC KUHAMASISHA MICHEZO Lango la Habari November 13, 2022 Na John Mapepele Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe Mohamed Mchengerwa ametoa wito kwa Wakuu wa Mikoa wote nchini kuhamasisha shugh... Read more »
WAZIRI MCHENGERWA AWATAKA WALIMU WA MICHEZO KUTEKELEZA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA Lango la Habari November 05, 2022 Na John Mapepele Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohammed Mchengerwa amewataka Makatibu Tawala wa Mikoa, Maafisa Michezo na walimu w... Read more »
WACHEZAJI 10 TEMBO WARRIORS WASAJILIWA NA TIMU ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU UTURUKI Lango la Habari November 02, 2022 Na John Mapepele . Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewatakia kila la kheri wachezaji 10 wa Timu ya Taifa ya... Read more »
MBUNGE VENANT KUIBUA VIPAJI VYA SOKA VIJIJINI Lango la Habari November 01, 2022 Na Lucas Raphael,Tabora Mbunge wa jimbo la Igalula wilaya ya uyui mkoani Tabora Venant Protas amekusudia kutekeleza mpango wa kuanzisha ligi... Read more »
KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA MCHANGO WA RAIS SAMIA, WIZARA KATIKA MABORESHO YA MICHEZO, SANAA Lango la Habari October 26, 2022 Na John Mapepele Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imempongeza kwa mchango wake, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tan... Read more »
TAZAMA MAGOLI MTANANGE WA LEO YANGA VS SIMBA HAPA Lango la Habari October 23, 2022 Tazama hapa chini Read more »