Showing posts with label UTEUZI. Show all posts
Showing posts with label UTEUZI. Show all posts
Tuesday, 3 October 2023
Sunday, 1 October 2023
RAIS SAMIA AMTEUA MATINYI KUWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI
Lango la Habari
October 01, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Mhe. Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO...
Sunday, 3 September 2023
Wednesday, 30 August 2023
Wednesday, 5 July 2023
Sunday, 2 July 2023
Thursday, 29 June 2023
Tuesday, 13 June 2023
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI TAMISEMI, TANROAD
Lango la Habari
June 13, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao:- i) Amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa N...
Saturday, 25 March 2023
Thursday, 9 March 2023
Tuesday, 14 February 2023
RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO MADOGO BARAZA LA MAWAZIRI, MAKATIBU WAKUU
Lango la Habari
February 14, 2023
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri, ambapo amemhamisha Mohamed Mchengerwa aliyekuwa Waziri wa Uta...
Thursday, 9 February 2023
RAIS SAMIA ATEUA MTENDAJI MKUU AICC
Lango la Habari
February 09, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Ephraim Balozi Mafuru kuwa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Kimataifa c...
Monday, 6 February 2023
RAIS DKT. MWINYI AMTEUA CHARLES HILARY KUWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI ZANZIBAR
Lango la Habari
February 06, 2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Charles Martin Hilary kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali. Cha...
Friday, 3 February 2023
RAIS SAMIA ATEUA VIONGOZI SABA USIKU HUU
Lango la Habari
February 03, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- (1) Amemteua Bi Janet Zebedayo Mbene kuwa...
Wednesday, 25 January 2023
BREAKING: RAIS DKT. SAMIA AFANYA UTEUZI WA WAKUU WA WILAYA
Lango la Habari
January 25, 2023
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37,...
Tuesday, 24 January 2023
RAIS DKT. SAMIA ATUMBUA MKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NNE
Lango la Habari
January 24, 2023
Na Lango La Habari Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya utenguzi wa Mkuu wa Wilaya na Wakurugenzi wate...
Saturday, 21 January 2023
RAIS DKT. MWINYI ATEUA VIONGOZI SITA
Lango la Habari
January 21, 2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi amewateua viongozi mbalimbali. Kupitia taarifa iliyotolewa Iju...
Tuesday, 17 January 2023
RAIS DKT. SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI NANE
Lango la Habari
January 17, 2023
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kupitia taarifa iliyotolewa n...
Monday, 16 January 2023
RAIS DKT. MWINYI ATEUA KAMISHNA MKUU ZRA
Lango la Habari
January 16, 2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemteua ndugu Yusuph Juma Mwenda kuwa Kamishna Mku...
Saturday, 7 January 2023
RAIS DKT. SAMIA ATEUA GAVANA BOT, KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
Lango la Habari
January 07, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990