Breaking

Thursday 24 March 2022

PICHA : MZEE MREMA NA MKEWE WAKIWA KANISANI TAYARI KWA NDOA




Maandalizi kwa ajili ya harusi ya Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labor Part (TLP), Agustino Mrema tayari yamekamilika tayari wamewasili katika kanisa katoliki parokia ya Uwomboni Kiraracha mkoani Kilimanjaro.

Mrema ambaye aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini, kuwa mbunge na kugombea urasi wa Tanzania, leo Alhamisi Machi 24, 2022 anafunga tena ndoa baada ya mke wake kufariki mwaka jana.

Pia tazama : HATIMAE MZEE MREMA AFUNGA NDOA, MKE ASEMA ATAMRUDISHA UJANANI

Mrema amesema familia ya mke wake ilimtaka alipie mahari ya Sh4.2 milioni ambapo hadi sasa ameweza kulipa Sh1 milioni.


Mrema amesema aliwatuma wazee kwa familia ya mke wake mtarajiwa na kutakiwa kulipa kiasi hicho cha mahari.













Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages