Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imeeleza kuwa Jua kwa siku ya leo Jumamosi Juni 11, 2022 linatarajiwa kuzama mapema zaidi maeneo ya Jiji la Dar es salaam na visiwani Zanzibar saa 12:13 jioni.
Pia Mamlaka hiyo imeeleza kuwa hali ya upepo mkali ikitarajiwa kuendelea katika maeneo yaliyo karibu na ukanda wa bahari ya hindi na Nyasa hivyo wananchi wanatakiwa kuendelea kuchukua tahadhari.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI