Breaking

Friday 1 July 2022

WIZARA YA AFYA YATANGAZA MAJINA YA WALIOPATA AJIRA KADA YA AFYA, TAZAMA ORODHA HAPA


Wizara ya Afya inapenda kuwataarifu waombaji wa ajira za kada za afya zilizotangazwa kwenye Tovuti ya Wizara ajira.moh.go.tz April 16, 2022 hadi Mei 03, 2022 kwamba zoezi la uchambuzi wa maombi ya kazi yaliyopokelewa limekamilika.

Bofya kwenye kiunganishi hapo chini kupata orodha ya majina ya watumishi ajira mpya.
👇🏾 


Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages