Breaking

Monday 11 July 2022

RC MWANZA ATOA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA NAIBU WAZIRI MASANJA



Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mhandisi Robert Gabriel amefika nyumbani kwa Baba mdogo wa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) Kata ya Nyamanoro, Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza kwa ajili ya kutoa mkono wa pole baada ya kufiwa na baba yake mdogo Charles Masanja tarehe 6 Julai, 2022.




Maziko yalifanyika Julai 9, 2022 Badugu, Wilaya Busega Mkoa Simiyu.







Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages