Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji , Balozi Jestas A. Nyamanga anazungumza mubashara na vyombo vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom LEO: 21/9/ 2022, saa 5 Asubuhi kwa Saa za Tanzania.
Jinsi ya Kushiriki:
Bofya ~ bit.ly/3Bws5qz
Au tumia
Meeting ID: 828 7457 2432
Passcode: 435906
Waandishi wa habari wote mnakaribishwa.
Mawasiliano: +255734052138