Breaking

Saturday, 1 October 2022

LIVE: FURSA ZA KIUCHUMI ZINAZOPATIKANA MIKOA YA MARA, KIGOMA NA KAGERA



 

 Watch Tanzania  inakualika kushiriki Mkutano maalum unaofanyika leo Oktoba 01, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana

Mada; Mjadala wa kitaifa juu ya Maendeleo na Fursa mbalimbali za Kiuchumi katika Mikoa ya Mara, Kigoma na Kagera

shiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ https://bit.ly/3xYvopu

Au kupitia

Meeting ID: 836 4108 1713

Passcode: 320738

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages