Breaking

Wednesday 26 October 2022

LIVE: BALOZI WA TANZANIA NCHINI BURUNDI ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU

 
 Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Dkt. Jilly Maleko, anazungumza mubashara na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom moja kwa moja kutokea jijini Bujumbura - Burundi.

Wanahabari wote wanakaribishwa.

Jinsi ya Kushiriki; Bofya ~bit.ly/3N2hAkg

Au tumia

Meeting ID: 860 2369 5635

Passcode: 194685

Mawasiliano: +255734052138

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages