Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano maalum
Mada; Mjadala wa kitaifa juu ya Maendeleo na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana Dar es Salaam, Mwanza na Dodoma
Shiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ bit.ly/3zusoC8
Au kupitia
Meeting ID: 880 1129 0582
Passcode: 633482
Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online,Daily News Digital, ITV na Azam TV.
Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB.