Breaking

Thursday 8 December 2022

BRELA YAENDELEA KUTOA HUDUMA MAONESHO YA SABA YA BIDHAA ZA VIWANDA



Maafisa wa Wakala Usajili wa Biashara Leseni (BRELA) wamendelea kutoa huduma za papo kwa papo za kuramisha biashara katika maonesho ya 7 ya bidhaa za Viwanda vya Tanzania, ikiwa ni pamoja na kukabidhi vyeti kwa waliokamilisha usajili.

Katika maonesho hayo yanayohitimishwa tarehe 09 Desemba, 2022 huduma za BRELA zinatolewa ndani ya banda la Karume.














Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages