Breaking

Thursday 9 February 2023

RAIS SAMIA ATEUA MTENDAJI MKUU AICC



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Ephraim Balozi Mafuru kuwa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC).

Kabla ya uteuzi huo Mafuru alikuwa Mkuu wa Masuala ya Biashara katika kiwanda cha Sukari cha Kilombero, Morogoro, uteuzi huu umeanza tarehe 08 Februari, 2023.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages