Breaking

Friday 28 July 2023

EASTL YATAMBULISHA BIA MPYA


Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited (EASTL) Shinyanga inayotengeneza vinywaji vya Diamond Rock na Hanson's Choice imetambulisha rasmi vinywaji vipya (Bia Mpya) maarufu Goldberg na Hanson's Lite.

 EASTL imetambulisha Goldberg na Hanson's Lite leo Ijumaa Julai 28,2023 kwenye viwanja vya Sabasaba Mjini Shinyanga mahali ambapo kumefanyika mkesha wa Mwenge wa Uhuru 

Goldberg na Hanson's Lite vimepokelewa kwa kishindo ambapo wamejitokeza kwa wingi katika Banda la EASTL kupata na kufurahia vinywaji hivi vya kipekee na ladha ya kipekee sana!! Tayari vinywaji hivi vipo mtaani...!!
Wadau wakiwa katika banda la EASTL usiku huu wakijipatia Goldberg na Hanson's Lite 
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages