Breaking

Tuesday 28 November 2023

Gospel Song : ROZAA - NASHUKURU



Huyu ni Mwimbaji wa nyimbo za injili anayejulikana kwa jina la Rozalia Magige au (ROZAA)

Na ni miongoni wa waimbaji mahiri na anaendelea kufanya vizuri,

Hizi ni baadhi ya nyimbo zake ambazo hakika zinafanya vizuri na zinabariki sana nakwambia hutajuta kuziangalia.

Usisahau Ku subscribe Kushare, Ku comment na Ku like🙏🏽

Share kwa marafiki bila kuchoka
Barikiwa sana🙏🏽
BOFYA <<HAPA>> KUTAZAMA VIDEO NYINGI ZAIDI


Rozaa - Nashukuru
Rozaa - Anajibu

Rozaa - Wa Thamani

Rozaa - Ni Ujumbe


Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages