Mhe. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) awasili Jijini Maputo kumwakilisha Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Uapisho wa Rais Mteule wa Msumbiji, Mhe. Daniel Chapo utakaofanyika kesho tarehe 15 Januari, 2025.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990