Sunday 4 December 2022
Saturday 3 December 2022
TAASISI ZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII ZAPEWA MAAGIZO JUU YA WANAFUNZI WA NCT
Lango la Habari
December 03, 2022
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mary Masanja (Mb), ameziagiza taasisi za Wizara yake kutenga nafasi za mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi...
ANUSURIKA KUUAWA BAADA YA KUKUTWA AKIWAFUNDISHA WATOTO USHOGA
Lango la Habari
December 03, 2022
Jabir Hamisi, mkazi wa mtaa wa Mwatulole, mkoani Geita, amenusurika kuuawa kwa kipigo na mamia ya wananchi, baada ya kukutwa akiwa na kundi ...
WAMILIKI LESENI ZA MADINI WATAKIWA KUWAJIBIKA HUDUMA KWA JAMII
Lango la Habari
December 03, 2022
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amewataka wamiliki wa leseni za madini nchini kuchangia huduma kwa jamii inayozunguka mgodi ambapo amesema...
WASIOJULIKANA WAIBA KICHANGA KAGERA, POLISI WAANZA MSAKO
Lango la Habari
December 03, 2022
Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio la wizi wa mtoto mchanga mwenye umri wa mwezi mmoja aliyepotea katika mtaa wa Migera kata ...
Friday 2 December 2022
AJALI YAUA WATATU, YAJERUHI 18 - MWANZA
Lango la Habari
December 02, 2022
Watu watatu wamepoteza maisha na wengine 18 kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari manne katika eneo la Nyakato Sokoni jijini Mwanza. C...
MNF WASHAURIWA KUENDELEZA UMAJUMUI WA MWALIMU NYERERE
Lango la Habari
December 02, 2022
Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Patrobas Katambi Ameishaur...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990