Breaking

Tuesday 28 June 2022

LIVE: MKURUGENZI WA MAWASILIANO YA RAIS IKULU NA MAWAZIRI WANAZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI MUDA HUU




Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Waziri wa Nishati, katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda pamoja na Viongozi na Wakuu wa Taasisi za Serikali wakizungumza na vyombo vya habari.

Viongozi hao wanaelezea kuhusu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Oman pamoja na matokeo ya Filamu ya The Royal Tour katika Ukumbi Wa Jakaya Kikwete - Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 28 Juni, 2022
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages