Breaking

Wednesday 22 June 2022

LIVE: MKUTANO MAALUM UWEKAJI ALAMA ZA MIPAKA LOLIONDO NA MAENDELEO YA ZOEZI LA UHAMAJI WA HIARI KWA WAKAZI WA NGORONGORO


WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano muhimu na maalum unaofanyika leo Juni 22, 2022 (Jumatano) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.

Mada; Zoezi la Uwekaji Alama za Mipaka Tarafa ya Loliondo na Maendeleo ya Zoezi la Uhamaji wa Hiari kwa Wakazi wa Ngorongoro

Unaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3n26eR2

Au kupitia

Meeting ID: 870 0059 7046

Passcode: 077612

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages