Breaking

Wednesday 8 June 2022

MAAMBUKIZI YA COVID-19 YAONGEZEKA NCHINI, VISA 161 VYARIPOTIWA



Wizara ya Afya imetoa taarifa kuhusu mwenendo wa Covid-19 katika kipindi cha tarehe 05 Mei hadi 03 Juni 2022 ambapo maambukizi mapya  161 yamethibitika ikilinganishwa na maambukizi 68 kwa kipindi cha tarehe 02 Aprili hadi 4 Mei 2022.

Dar es Salaam imeripoti visa 130, Arusha (10), Mwanza (5), Shinyanga (4), Mtwara (3), Dodoma (2), Mara (2), Morogoro, (1), Simiyu (1), Katavi (1), Kilimanjaro (1) na Mbeya (1)





Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages