Breaking

Thursday 30 June 2022

LIVE: MJADALA WA KITAIFA :TATHMINI YA LIGI YA NBC 2021/22 NA MABORESHO SEKTA YA MPIRA WA MIGUU CHINI YA SERIKALI AWAMU YA SITA


Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano muhimu na maalum



Mada; Tathmini ya Msimu wa Ligi ya NBC 2021/2022 na Maboresho katika Sekta ya Mpira wa Miguu chini ya Serikali ya Awamu ya Sita


Muda ukifika Saa 10 kamili Jioni, utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ https://bit.ly/3ylTpqU

Au kupitia

Meeting ID: 830 5188 1708

Passcode: 709019



Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Uhondo TV, Bongo5, Daily News Digital, ITV na Azam TV.


Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Taifa ya Maendeleo ya Biashara Tanzania - NBC na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages