Breaking

Sunday 31 July 2022

ALIYETEULIWA KUWA RC MARA ATENGULIWA SIKU MOJA KABLA YA KIAPO, RAIS SAMIA ATEUA MWINGINE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Julai 31, 2022 amemteua Meja Jenerali Suleimani Mzee (Kulia pichani) kuwa RC wa Mara na kutengua uteuzi wa Dkt. Raphael Chegeni (Kushoto Pichani) ambaye aliteuliwa July 28,2022 kuchukua nafasi ya Ally Hapi.

kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Mzee alikuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages