Breaking

Saturday 16 July 2022

LIVE: MJADALA WA KITAIFA: KUKUA DIPLOMASIA YA UCHUMI NA FURSA ZA KIUCHUMI ZINAZOPATIKANA NCHI ZA EAC


Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano maalum unaofanyika Julai 16, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni



Mada; Kukua kwa Diplomasia ya Uchumi na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC)

Muda ukifika (Saa 10 kamili, Julai 16, 2022 - Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ https://bit.ly/3c1rHXV

Au kupitia

Meeting ID: 882 5322 0968

Passcode: 046682

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.


Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages