Breaking

Tuesday 5 July 2022

LIVE: MJADALA WA WANASHERIA WAKIANGAZIA LOLIONDO NA UHAMIAJI WA HIARI WAKAZI WA NGORONGORO

Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano muhimu na maalum 



Mada; Mjadala wa Wanasheria juu ya zoezi la uwekaji Mipaka Tarafa ya Loliondo na Uhamaji wa Hiari kwa Wakazi wa Ngorongoro

kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya 
https://bit.ly/3yf1E6S

Au kupitia

Meeting ID: 861 3784 7684

Passcode: 056609




Zoom Meeting



Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.


Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages