Breaking

Saturday 30 July 2022

LIVE: MJADALA WA KITAIFA: FURSA ZINAZOPATIKANA AFRIKA KASKAZINI, MASHARIKI YA KATI NA ASIA

Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano maalum unaofanyika leo Jumamosi Julai 30, 2022 kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni.

Tazama hapa chini

Sehemu ya Pili ya Mada; Kukua kwa Diplomasia ya Uchumi na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana nchi za Afrika ya Kasikazini, Mashariki ya Kati na Asia.

Muda ukifika (Saa 10 kamili, Julai 30, 2022 - Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ https://bit.ly/3J5QPcG

Au kupitia

Meeting ID: 836 9535 7265

Passcode: 534996


Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages