Breaking

Saturday 20 August 2022

LIVE: MJADALA WA KITAIFA: UMUHIMU WA SENSA KATIKA MAENDELEO YA TAIFA

Watch Tanzania inakualika kushiriki Mjadala wa Kitaifa juu ya Umuhimu wa Sensa Katika Maendeleo ya Taifa

Shiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya~
https://bit.ly/3JUIsRy

Au Tazama live

 
Au kupitia

Meeting ID: 844 5801 5349

Passcode: 003119


Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages