Breaking

Wednesday 3 August 2022

BEI MPYA YA MAFUTA, PETROL YAPANDA KWA TSH 190, DIESEL TSH 179, MAFUTA YA TAA SH 323



Bei ya mafuta nchini Tanzania, imepanda tena mwezi huu na kuivuka ile ya Julai 2022 ambapo petroli imepanda kwa Sh190 kwa kila lita na Sh179 kwa kila lita ya dizeli huku mafuta ya taa yakipanda kwa Sh323 kwa kila lita kwa Jiji la Dar es Salaam.

Ewura imesema bei hizo mpya ambazo zitaanza kutumika Jumatano Agosti 3, 2022 zimejumuisha ruzuku ya Sh100 bilioni iliyotolewa na Serikali vinginevyo, lita ya petroli ingeuzwa Sh3,630 na dizeli Sh3,734 jijini Dar es Salaam.












Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages