Breaking

Saturday 3 September 2022

LIVE: HIZI HAPA FURSA ZINAZOPATIKANA MIKOA YA KASKAZINI MWA TANZANIA

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano huu maalum utaofanyika leo Jumamosi ya Septemba 3, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:00 mchana.

Mada; Mjadala wa kitaifa juu ya maendeleo na fursa za kiuchumi zinazopatikana mikoa ya kaskazini mwa Tanzania - Tanga, Arusha, Kilimanjaro na Manyara

Unaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ https://bit.ly/3R3a5dR

Tazama live hapa chini


Au kupitia

Meeting ID: 820 4583 6760

Passcode: 388252



Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages