Breaking

Thursday 22 September 2022

LIVE: MJADALA WA KITAIFA: PUNGUZO LA TOZO NA FAIDA ZAKE KWA WANANCHI

 
 Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano maalum utakaofanyika Septemba 22, 2022 (Alhamis) kuanzia saa 8 kamili Mchana hadi saa 10:30 Jioni.

Mada; Mjadala wa kitaifa juu ya Punguzo la Tozo na Faida zake kwa Wananchi.


Muda ukifika (Saa 8 nkamili, Septemba 22, 2022 - (Alhamis) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~bit.ly/3UDdjan

Au kupitia

Meeting ID: 832 7799 6987

Passcode: 726807

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania



Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages