Breaking

Saturday, 29 October 2022

BALOZI WA TANZANIA NCHINI CHINA KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI



Balozi wa Tanzania nchini China, Balozi Mbelwa Kairuki, atazungumza mubashara na vyombo vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom siku ya Jumamosi, Oktoba 29, 2022, kuanzia saa 9 kamili alasiri kwa Saa za Tanzania, moja kwa moja kutokea jijini Beijing - China.

Wanahabari wote wanakaribishwa. Jinsi ya Kushiriki;

Bofya ~https://bit.ly/3TZi8te

Au tumia

Meeting ID: 823 7356 9577

Passcode: 617194




NB. Muda wa kujiunga na mkutano ni saa 10:45 am. Tuzingatie MUDA

Mawasiliano: +255734052138

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages