Breaking

Saturday, 29 October 2022

LIVE: MJADALA WA KITAIFA: FURSA ZINAZOPATIKANA MOROGORO, PWANI NA NJOMBE



Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano maalum.

Mada; Mjadala wa kitaifa juu ya Maendeleo na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana mikoa ya Morogoro, Pwani na Njombe

Muda ukifika (Saa 5 kamili asubuhi, Oktoba 29, 2022 - (Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ bit.ly/3z7LrBV

Au kupitia

Meeting ID: 864 9332 7824

Passcode: 623077

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online,Daily News Digital, ITV na Azam TV.




Karibuni.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages