Breaking

Tuesday 15 November 2022

DKT. BITEKO AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA MADINI YA MAKAA YA MAWE


Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amefungua Mkutano wa Wadau wa Madini ya Makaa ya Mawe leo Novemba 15, 2020 unaofanyika katika ukumbi wa Kanisa katoliki Bombambili - Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.


Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali ya Mkutano huo unaoendelea
























































"Madini Yetu, Uchumi Wetu, Tuyalinde"
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages