Breaking

Wednesday 12 April 2023

New Video !!JANDO Ft DADY P & DASHIEE - KUKUPENDA

 

Msanii Jando kutoka Shinyanga ameachia Video ya wimbo wake mpya inaitwa Kukupenda!! Katika video hii iliyotengenezwa na Director Malando Jando amemshirikisha msaniii Dady P na Dashiee... Tazama Hapa chini








Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages