Breaking

Monday 14 August 2023

MKE WANGU ALINING'ATA UUME HADI UKAWA HAUFANYI KAZI!



Tuliishi kwa upendo baina yangu na mke wangu, tuliaminiana kwenye ndoa na kila mmoja wetu alipotaka kufanya jambo kwa mfano kufungua biashara mpya tungejadialiana kwa pamoja bila ya mvutano wowote.

Hali ilikuwa shwari kabisa katika ndoa yetu kwani hakuna lolote lililotukwaza kama wapenzi, mambo yalianza tu kubadilika wakati ambapo mke wangu alipata tenda ya kusambaza vyakula katika ofisi za Kauti tuliyokua tukiishi naye kwa wakati ule.

Nilianza kutilia shaka uhusiano wetu kwa sababu alianza kupokea simu nyingi zaidi hata wakati wa usiku, mara nyingi alijificha ila kuzunngumza na waliompigia simu. Sikufurahishwa kabisa na tabia ile kwani nilijiambia moyoni alikuwa na mipango ya kando aliyoipata kazini pale.

Sikusita kumuuliza mbona alikuwa amebadilika kwa namna ile kwa sababu tabia ile haikunifurahisha kama mume wake halali kulingana na vyeti vya ndoa tulivyopokea kanisani.

Nilitaka afanye mambo hadharani kama yalikuwa ni halali lakini tabia ya kujifugia chooni anapopigiwa simu ama kutoka nje ya nyumba kila mara simu inapoita iliendelea kwa muda.

Sikuwa na budi kama kiongozi wa nyumba kuwa na msimamo dhabiti na kukomesha tabia ile kwani niligundua fika ingeniharibia ndoa yangu ambayo ilikua ingali changa, kwani tulikua tu tumeaona kwa muda wa miezi minane.

Muda ulivyosonga, alianza kuja nyumbani usiku wa manane na nilipomuuliza alipokuwa ilikuwa ni vurugumechi ndani ya nyumba yetu, ilikuwa ni kutupiana makonde na aliye na nguvu ndiye aliyeibuka kulala nyumbani.

Hali ilikuwa mbaya zaidi kwani nilipata nimemjeruhi vibaya pia naye hakuachwa nyuma kwani alama alizonipa zilinitia kiwewe, kwani ilikua vigumu hata kukodi gari kuelekea kazini kwani ungedhani nilikua nimepata ajali ya kugongwa na gari moshi.

Majirani walibaki kuona sinema ya bure kwani wengi wao walifurahia mke wangu akinipiga makonde na kila mara aliponilemea walishangilia kwa furaha.

Ama kwa hakika ilikuwa ndoa iliyokua si ya kutamaniwa na mtu yeyote ambaye alikuwa na mipango ya kuoa karibuni, tulijaribu kuzungumza na wazazi ile tupate suluhisho la migogoro yetu ya kila mara lakini yote yaliambulia patatupu kwani hamna lolote ambalo tulizingatia.

Tabia ya mke wangu ilinichosha hapo nikajitosa kwenye ulevi, kila nilipo toka kazini nilipitia kwa mama Pima ili nibugie pombe ili inipe ujasiri wa kumkabili mke wangu kwani yeye pia alikuwa ni kisiki.

Siku moja nilikua nimelewa chakari, nilipoingia chumbani nilimkuta mke wangu ametulia hali ambayo haikua ni kawaida yake, nilidhani kuwa alikua na maumivu kwani haikuwa kawaida yake kutulia vile. Aliandaa chakula tukala, nilitangulia kwenda kulala chumbani kwani nilikuwa nimepiga maji ajabu.

Alionekana kabadilika kwani hakuwa na mengi ya kuongea, usiku mwendo kama saa nane hivi nilishtushwa usingizini na unyevunyevu ambao uliandamana na uchungu fulani katika uume wangu. Alikuwa amening’ata na damu ilikuwa imelowa kitandani. Nililia kwa uchungu kwa sababu pombe ilikua imenitoka akilini. Majirani waliwasili kunisaidia ambapo nilikua nimevuja damu nyingi.

Hospitalini nilifanyiwa upasuaji ambapo madaktari walisema singeweza tena kufanya tena tendo la ndoa. Jambo hilo lilinidhofisha sana kimawazo kwani nilikuwa bado barobaro na kwenye harakati za kutafuta mtoto. Katika vituo vyote vya afya nilivoenda waliniarifu vile tu kua kufanya tendo la ndoa ingekua ni vigumu.

Nilipatana na Sam ambaye alikua ni rafiki wangu wa kale pale chuoni, nilimwelezea masaibu yangu akanielezea kuwa alikua na suluhisho, nalo ni kwenda kwa African Doctors.

Siku iliyofuatia tulienda kwa African Doctors ambapo nilihudumiwa, baada ya kurejea nyumbani mke wangu alikua kesharudi jambo ambalo pia lilinishagaza. Usiku ule tulikula uroda naye kwani ilikua ni muda mrefu tangu kisa kilipotokea. Ama kwa hakika African Doctors wameisaidia ndoa yetu.

Mke wangu alienda hospitalini na alipopimwa alipatikana ni mjamzito wa wiki tatu. Yeyote aliye na matatizo ya ndoa na anahitaji suluhisho la haraka anapaswa kuwatembelea African Doctors.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com

Mwisho.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages