Breaking

Monday 2 October 2023

UJENZI MAJI HOUSE WAFIKIA ASILIMIA 95Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Ndugu Kiula Kingu amekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la "Maji House" lililo katika hatua za mwisho za utekelezaji.

Mradi huu unatekelezwa na mkandarasi kampuni ya Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) ambapo kwa sasa imefikia zaidi ya asilimia 95 ya utekelezaji.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages