Breaking

Friday 8 March 2024

WATUMISHI DAWASA WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE 2024

Watumishi wanawake wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wakishiriki maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani ambayo hufanyika tarehe 8 Machi kila mwaka.

Maadhimisho katika Mkoa wa Dar es salaam yamefanyika viwanja vya Mji mwema katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ikibebwa na kauli mbiu "Wekeza kwa wanawake kuharakisha maendeleo ya Taifa na ustawi wa jamii".





Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages