Breaking

Tuesday 2 April 2024

DKT. MOLLEL AKUTANA NA UONGOZI WA MCT KUJADILI UBORESHAJI UTENDAJI KAZI

Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel leo Aprili 2, 2024 amekutana na uongozi wa Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) na kujadili namna nzuri kuboresha utendaji kazi ikiwa ni pamoja na kuongeza ufanisi katika kusimamia maadili ya taaluma ya udaktari nchini.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages