Breaking

Tuesday, 13 May 2025

WAZIRI LUKUVI NA VIONGOZI WENGINE KWENYE MAANDALIZI YA MISA YA KUAGA MWILI WA HAYATI DAVID MSUYA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Wiliam Lukuvi pamoja na viongozi mbalimbali katika maandalizi ya kushiriki ibada ya kumuombea na kuaga Mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya, leo Mei 13, 2025.

Ibada hiyo itafanyika katika Kanisa la KKKT Kristo Mchungaji Mwema; Dayosisi ya Mwanga, Jimbo la Kaskazini, Usharika wa Usangi Kivindu, Usangi, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro 
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages