Thursday, 1 June 2023
Wednesday, 31 May 2023
MCHENGERWA ATAKA KUANZISHWA IDARA YA KUPAMBANA NA UJANGILI, AZINDUA MIKAKATI YAKE
emmanuel mbatilo
May 31, 2023
Na John Mapepele Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe Mohamed Mchengerwa ametaka kuanzishwa kwa Kurugenzi maalum itakayoshughulikia masuala ya...
TANZANIA NA KENYA ZAJADILIANA UIMARISHAJI MPAKA WA KIMATAIFA
emmanuel mbatilo
May 31, 2023
Na Munir Shemweta, WANMM ARUSHA Tanzania na Kenya ziko katika kikao cha majadiliano ya kuendelea na kazi kuimarisha mpaka wa kimataifa wa nc...
UTEKELEZAJI WA SERA YA BAJETI UFANYIKE KUANZIA NGAZI YA SERIKALI ZA MITAA
emmanuel mbatilo
May 31, 2023
WADAU wa Maendeleo ya Jinsia wameiomba Serikali kuhusu utekelezaji wa sera ya Bajeti ufanyike kuanzia ngazi ya Serikali za mtaa kabla haijae...
MCHAKATO WA KUREKEBISHA SHERIA YA NDOA 1971, WADAU WASISITIZA MIAKA 18
Video
May 31, 2023
Waziri wa Katiba na Sheria Dr. Damas Ndumbaro akifungua mkutano wa kujadili Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971.
SERIKALI KUTATHMINI ENEO LA HIFADHI YA MSITU WA USUMBWA WILAYANI USHETU
Lango la Habari
May 31, 2023
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema itafanya tathmini ya Hifadhi ya Msitu wa Usumbwa iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya...
DAWASA YAANZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI BWAWA LA KIDUNDA
emmanuel mbatilo
May 31, 2023
Serikali kupitia Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi Bwawa la Kidunda...
DC JOKATE MWEGELO AWAPA ONYO WATAKWAOKWAMISHA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KOROGWE
emmanuel mbatilo
May 31, 2023
Na Humphrey Shao, MKUU wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga ,Mhe.Jokate Mwegelo ametoa onyo kwa wale ambao watahusika kwa namna moja ama nyingi...
Tuesday, 30 May 2023
UKARABATI NA UPANUZI UWANJA WA NDEGE SHINYANGA WAANZA
Video
May 30, 2023
Wadau wa Usafiri wa Anga wakiwa katika uwanja wa Ndege wa Ibadakuli Mkoani Shinyanga Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Ukarabati na Upan...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990