TAZAMA HAPA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Biashara na Uwekezaji na kushuhudia Utiaji saini wa Mikataba kati ya Serikali na Wawekezaji, kati ya Sekta Binafsi na Wawekezaji inayofanyika Jumeira Beach Resort Dubai leo tarehe 27 Februari, 2022.