Breaking

Sunday 17 April 2022

LIVE: MJADALA WA KITAIFA UKIANGAZIA UZINDUZI WA TANZANIA THE ROYAL TOUR


Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano Maalum unaofanyika leo April 17, 2022 (Jumapili) kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 na nusu jioni kwa saa za Tanzania.


Mada; 

Uzinduzi wa Tanzania Royal Tour Nchini Marekani katika majimbo ya New York na Los Angeles

  jiunge na mkutano kwa kubofya ~ https://bit.ly/3O8jG27

Au kupitia

Meeting ID: 89151319288

Passcode: 306263


Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.


Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages