Breaking

Friday 6 May 2022

TCRA YAFUNGIA VIDEO YA WIMBO WA DIAMOND PLATNUMZ FT ZUCHU MTASUBIRI SANA



Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imeagiza kusitishwa kwa wimbo wa Diamond Platnumz Ft. Zuchu - Mtasubiri Sana, kutokana na kipande kinachomuonesha Zuchu akiimba kwaya kanisani na baadaye akaacha baada ya kupigiwa simu.


Mamlaka hiyo imesema kipande hicho kimeibua ukakasi na hisia za dharau juu ya dini/madhehebu fulani.





Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages