Breaking

Saturday 25 June 2022

LIVE: MJADALA WA KITAIFA : MAENDELEO YA MIUNDOMBINU NA FAIDA ZA UWEKEZAJI ZANZIBAR



Zoom Meeting

Leo hii utapata fursa ya kushiriki na kuchangia mjadala wa Kitaifa unaoendeshwa mtandaoni juu ya Maendeleo ya Miundombinu na Faida za Uwekezaji katika Visiwa vinavyoizunguka Zanzibar

Muda (Saa 10 kamili mpaka 12:30 JIONI) 

KWA ZOOM


Au kupitia
ID: 830 7950 2433
Passcode: 917557

KWA YOUTUBE

Mdahalo huu uko Live katika ukurasa wa WATCH TANZANIA na pia katika kurasa zifuatazo: EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Sauti Kuu, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Bongo5, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu katika mjadala huu wa aina yake ambapo utaruhusiwa kuchangia (25 June 2022)



Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.














Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages