Breaking

Saturday 23 July 2022

LIVE: MJADALA WA KITAIFA: KUKUA DIPLOMASIA YA UCHUMI NA FURSA ZINAZOPATIKANA MASHARIKI YA KATI NA ASIA

 
Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano maalum unaofanyika Julai 23, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni

Mada; Kukua kwa Diplomasia ya Uchumi na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana nchi za Mashariki ya Kati na Asia kwa Ujumla

Kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ https://bit.ly/3PyIr7g

Au kupitia

Meeting ID: 849 9381 4897

Passcode: 078241

 

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages