Breaking

Saturday 9 July 2022

LIVE: MJADALA WA KITAIFA: KUKUA KWA DIPLOMASIA YA KIUCHUMI, FURSA ZA KIUCHUMI KATIKA NCHI ZA SADC




WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano maalum utakaofanyika Julai 9, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni.

Mada:Kukua kwa Diplomasia ya Uchumi na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana nchi za kusini mwa Afrika (SADC)


Muda ukifika (saa 10 kamili, Julai 9, 2022 - Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3yeV2pe


Au kupitia
Meeting ID: 819 6524 3784
Passcode: 635753


Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.


Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990

Pages